1 Kings 16:24

24 aAlinunua kilima cha Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili
Talanta mbili za fedha ni sawa na kilo 70.
za fedha na akajenga mji juu ya hicho kilima, akiuita Samaria, kutokana na Shemeri, jina la mmiliki wa kwanza wa kilima hicho.

Copyright information for SwhNEN